[base16] # _

Recent Posts

Tanzia: Nyota wa midundo ya reggae Bunny Wailer afariki dunia

published on
- Nyota huyo wa miaka 73 alikata roho akiuguzwa katika hospitali ya Andrews Memorial huko Jamaica - Ripoti zilionyesha kuwa amekuwa akipokea matibabu baada ya kupatwa na kiharusi mwana mmoja uliopita - Wailer alikuwa mwanachama mwanzilishi pekee aliyekuwa hai baada ya Marley na Tosh kuaga dunia mnamo 1981 na 1987, mtawalia Mwanamuziki wa midundo ta reggae Bunny Wailer wa bendi ya Wailers ameaga dunia. Nyota huyo wa miaka 73 alikata roho akiuguzwa katika hospitali ya Andrews Memorial katika parokia ya Mtakatifu Andrew huko Jamaica. Read More...

Top South African jokes one-liners

published on
Are you looking to add some humour to your daily conversations with your friends and colleagues? Do you need some funny jokes to use while anchoring an event? One-liner short jokes are some of the funniest jokes you can easily pick up and use. Below, you will find some top South African jokes you can easily use. Short, concise and funny jokes are way better than long empty and dry jokes. Read More...

Categories

Blog (1686)