- Orodha hiyo ilionesha kuwa wanafunzi wengi kutoka jamii ya Wakalenjin walifaidika na ufadhili wa elimu ya eneo bunge lake
- Hata hivyo, mbunge huyo alisema orodha hiyo ya kupotosha iliundwa na maadui zake wa siasa ambao walikerwa na rekodi yake ya maendeleo
- Korir alisisitiza kuwa usajili wa wanaofaidika na hela za masomo katika eneo bunge lake hufanywa kwa njia ya uwazi
Mbunge wa Lang'ata Nixon Korir amejitenga na orodha iliyoonesha kuwa alilipendelea kabila lake katika mgao wa fedha za masomo. Read More...
Tems Baby is on the cover of this month's issue of Genevieve Magazine.
Nigerian singer Tems is the cover girl for Genevieve Magazine. ncG1vNJzZmivp6x7scHLrJxnppdkuaqyxKyrsqSVZMGmudJmoKxln6N6tbTEZpqorpWnerCyjKCcp52mnrK3sYymmKCZqp67pnvSpJ2rsGGu