blog

Lisa Rice's Fight for Fair Housing Practices

published on
The racial gap in homeownership in the U.S. is wider now than it was back when it was legal to refuse to sell a house to a family because they were Black. The difference is that in the ’60s, it was people who were turning minority families away; now it’s systems. “Our credit-scoring systems, our risk-based pricing systems, our automated underwriting systems, and many of the systems that we use in the housing and financial-services space are inequitable,” says Lisa Rice, 61, president and CEO of the National Fair Housing Alliance (NFHA). Read More...

Martha Koome Amtaka Uhuru Kuwaidhinisha Majaji 6 Alioacha Nje: "Hutatuonyesha jinsi ya kufanya kazi"

published on
- Koome alizungumzia kuongezeka kwa kesi kwa sababu ya uhaba wa majaji na kwamba kutowateua majaji sita kunaweza kuumiza Mahakama - Jaji mkuu alisema kuna haja ya kupata suluhisho la kudumu ili kusiwe na kucheleweshwa kwa uteuzi wa majaji katika siku zijazo - Hali ilivyo sasa ni ishara ya kuendelea kuwapo kwa uhusiano baridi kati ya Uhuru na Mahakama Jaji Mkuu Martha Koome amevunja ukimya wake kuhusu uteuzi mapendeleo wa majaji uliofanywa na Rais Uhuru Kenyatta. Read More...