published on in blog

Beji 13 za maafisa wa polisi na maana zao, je wazielewa?

-Ni kweli kwamba unaziona kila siku, lakini je wajua maana za beji hizi za polisi

TUKO.co.ke yakuletea baadhi ya beji kutokana na vyeo vya maafisa wa polisi ambazo wewe huziona katika magwanda yao pasi kuelewa maana yao

Habari Nyingine: Makubwa! Polisi wa JKIA wanasa ‘bunduki’ aina ya AK-47 na hatimaye kugundua ni pombe

Inspekta Jenerali wa polisi

Msaidizi Inspekta generali

Naibu Inspekta generali

Kamishna

Habari Nyingine: Mvulana mwenye umri wa miaka19 awachwa fukara na mama sukari wake mwenye umri wa miaka 70

Msimamizi wa polisi

Inspekta Mkuu wa polisi

Msaidizi msimamizi wa polisi

Habari Nyingine: Mtoto huyu aliyezaliwa akiwa na nyeti ya kiume na kike anahitaji msaada wako (picha)

Koporali

Sajenti mkuu

Inspekta

Habari Nyingine:Mwanamke mwenye miaka 58 adaiwa kujifungua mtoto mvulana (picha)

Read ENGLISH VERSION

Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe?Tuma ujumbe kwa mhariri:mwangi.muraguri@tuko.co.ke

Subscribe to watch new videos

Chanzo: TUKO.co.ke

ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2Bvzmeinmdia316f5VmmZ6imWJ%2BdHnZmmSmmZGbtrStjLCYZqifoba0tYynmGalkZa7onnZmqZmopVixKLGyJ6jnq%2BRY7W1ucs%3D